Kwanza poleni kwa msiba uliowafika. kwa dhati kabisa.
Siku kadhaa sasa nafuatilia program mbalimbali za Azam jambo moja la bayana program zote zipo palepale ikiwa ni pamoja na nyingine za live.
Sasa inapokuja upande wa Afcon hakuna kitu kwa sababu zambazo mnaandika ni maombolezo.
Sasa swali langu hivi hayo maobmolezo ni afcon tu jamani? mbona Kagame mnarusha live? Vipindi vyenu vya benteha Fatumagul na vingine hadi kile kipindi cha weka record vunja record kipo palepale. Hivi kweli ni maobmolezo au mna la kwenu jambo mumeamua kulificha kwenye maobmolezo?
Basi tuseme ni nguvu kazi labda haipo kulingana na masuala ya msiba. Sasa inakuwaje channel za Kenya ambazo mnazionyesha huko Azam ikifika wakati wa AFcon LIVE channel za Kenya zinazorusha mnazikata?
,Mambo gani haya jamani acheni kucheza na akili za watu semeni tatizo lenu msaidiwe.