Azam AFCON vipi

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
714
Kwanza poleni kwa msiba uliowafika. kwa dhati kabisa.

Siku kadhaa sasa nafuatilia program mbalimbali za Azam jambo moja la bayana program zote zipo palepale ikiwa ni pamoja na nyingine za live.
Sasa inapokuja upande wa Afcon hakuna kitu kwa sababu zambazo mnaandika ni maombolezo.

Sasa swali langu hivi hayo maobmolezo ni afcon tu jamani? mbona Kagame mnarusha live? Vipindi vyenu vya benteha Fatumagul na vingine hadi kile kipindi cha weka record vunja record kipo palepale. Hivi kweli ni maobmolezo au mna la kwenu jambo mumeamua kulificha kwenye maobmolezo?
Basi tuseme ni nguvu kazi labda haipo kulingana na masuala ya msiba. Sasa inakuwaje channel za Kenya ambazo mnazionyesha huko Azam ikifika wakati wa AFcon LIVE channel za Kenya zinazorusha mnazikata?


,Mambo gani haya jamani acheni kucheza na akili za watu semeni tatizo lenu msaidiwe.
 
Nadhani nguvu kazi haipo huenda wafanyakazi waliofariki ndo walikuwa wakifanya matangazo haya ya moja kwa moja.Shida azam sio wakweli huo ndo ukweli.
 
Azam walikuwa wakitangaza lipia decorder uone Afcon, tumelipa ila hakuna kitu.
 
Dah! imenibidi tu kusikiliza hii fainali kupitia Radio One. Yaani nimerudi miaka ya 47 enzi za kusikiliza mpira kupitia RTD. Azam tv wanaonekana bado wana safari ndefu sana kuwafikia dstv.
 
Dah! imenibidi tu kusikiliza hii fainali kupitia Radio One. Yaani nimerudi miaka ya 47 enzi za kusikiliza mpira kupitia RTD. Azam tv wanaonekana bado wana safari ndefu sana kuwafikia dstv.
acja kufansnisha dstv na ujinba azam hata robo ya channel zenye akili ijafikia alafu unacompare hata ajafikia startime
 
Hao wanaringa wanajua wako wenyewe na kinachowapa nguvu ni ligi kuu, yaani dstv wakipewa mkataba hapo hichi king'amuzi nakitupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…