Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mda huu
Kwanza wapenzi wenzangu wa Azam FC
Leo tuingia kwa mkapa kifua mbele
Tunaenda kumdunda SIMBA ili afukuze kale ka matege ka rober[emoji16]
Kikosi tunacho, nia tunayo,uwezo tunao
TEAM BORA BIDHAA BORA
View attachment 2524976
Mbona msimu huu tuluufunga?Azam uwa awaeleweki viongozi ndiyo wanaiangusha hii timu, wengi ni wanachama wa simba wanatoa siri uku wanapeleka kule, Usimba na uyanga ndio unaua hii timu, wala usije ukashangaa leo wakagongwa kiroho safi ili kutuliza hali ya hewa upande wa pili maana ni mshirika wao mkubwa
Mashabiki wa kuazima mpo wengi.Habari za mda huu
Kwanza wapenzi wenzangu wa Azam FC
Leo tuingia kwa mkapa kifua mbele
Tunaenda kumdunda SIMBA ili afukuze kale ka matege ka rober[emoji16]
Kikosi tunacho, nia tunayo,uwezo tunao
TEAM BORA BIDHAA BORA
View attachment 2524976