Azam anaenda kumfukuzisha kazi Robertinho

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu

Kwanza wapenzi wenzangu wa Azam FC

Leo tuingia kwa mkapa kifua mbele

Tunaenda kumdunda SIMBA ili afukuze kale ka matege ka rober[emoji16]

Kikosi tunacho, nia tunayo,uwezo tunao

TEAM BORA BIDHAA BORA

 
Na simba atapiga hamsa hamsa shehe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Habari za mda huu

Kwanza wapenzi wenzangu wa Azam FC

Leo tuingia kwa mkapa kifua mbele

Tunaenda kumdunda SIMBA ili afukuze kale ka matege ka rober[emoji16]

Kikosi tunacho, nia tunayo,uwezo tunao

TEAM BORA BIDHAA BORA

View attachment 2524976

Juzi mmetoka kufungwa na timu ya mkiani then Leo unakuja na porojo zako
 
Azam uwa awaeleweki viongozi ndiyo wanaiangusha hii timu, wengi ni wanachama wa simba wanatoa siri uku wanapeleka kule, Usimba na uyanga ndio unaua hii timu, wala usije ukashangaa leo wakagongwa kiroho safi ili kutuliza hali ya hewa upande wa pili maana ni mshirika wao mkubwa
 
Mbona msimu huu tuluufunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ