Mtu wa hekima
Member
- Apr 14, 2024
- 29
- 40
Mimi nj mdau wa muda mrefu wa unga wa ngano wa Azam. Lakini kwa sasa unga wenu umepungua sana ubora.
Hauna ubora wa mwanzo umekua hauna quality umekua kama umechanganywa Na unga wa mahindi.
Ukiukanda unakua kama mpira halafu hata ukitengenezea Maandazi hayawi soft kama zamani Na unanyonya sana mafuta.
Tunaomba muangalie hili jambo maana unatuletea hasara sana hasa sisi wamiliki wa bekar.