Naangalia hapa mechi kati ya RB Leipzig na Mainz, lakini lugha inayotumika ni kiswahili, ukibadilisha ili kupata lugha ya mabeberu inakuja lugha nyingine.
Namuona hapa Yousuph Poulsen mwenye asili ya Tanzania.

Hiyo lugha nyingine ni kichewa(lugha inayozungumzwa na wanyasaland. Infwakti kwakweri(in haya voice) walitakiwa waweke option ya lugha tatu maana lugha yetu adhimu yenye tashtiti mujarabu, hicho kichewa kwa watazamaji wa upande mwingine wa ziwa nyasa na mwisho ile ya malkia ambayo infwakti wengi hatuilewani.
Samahani hebu niitieni waiter hapo..... Mnyama keshakeraaaa watu!
Hata mimi napenda matangazo ya kiingereza kuliko ya Kiswahili. Watangazaji wa kiingereza wana analyze mchezo vizuri zaidi huku wakitoa updates za timu na wachezaji kwa wakati huohuo.