Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Miezi 2 ndio kwanza inachipua ila haitoki kabisa hakuna watejabiashara yako ina miaka mingapi mdau
DahMiezi 2 ndio kwanza inachipua ila haitoki kabisa hakuna wateja
Kitu gani mkuu maana hatuelewi kituwabongo tuji funze kitu kwa hawa jamaa
Wanafanya biashara ya Familia sio biashara ya mtu mmoja mmojaKitu gani mkuu maana hatuelewi kitu
Ni yanini mkuu?Kuna Watu wanadhani hiyo aliyovaa Bakhresa ni mewani ya jua
Ni miwani ya kuchomea mageti umepatia mkuuKuna Watu wanadhani hiyo aliyovaa Bakhresa ni mewani ya jua
the fewer the winners, the sweeter the gameKitu gani mkuu maana hatuelewi kitu
Kubeba mfuko wa unga unajua bei yake? Yaan malipo yake unayajua?the fewer the winners, the sweeter the game
Na bado jamaa hataki kuongeza mtaji kwa njia ya kuuza hisa DSE. Umiliki wa makampuni yake upo kwake na familia.View attachment 3437075
MIAKA 50 YA BAKHRESA GROUP
Muasisi na Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Said Salim Awadh Bakhresa, ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa kampuni za Bakhresa, yaliyofanyika leo Agosti 09, 2025 kwenye ukumbi wa The Dome Masaki, Dar es Salaam.
Huja lazimishwa kubeba, ndio maana kuna uchaguzi wa kimaamuzi.Kubeba mfuko wa unga unajua bei yake? Yaan malipo yake unayajua?
Na bado jamaa hataki kuongeza mtaji kwa njia ya kuuza hisa DSE. Umiliki wa makampuni yake upo kwake na familia.