Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

Zilipigwa tunguli mixer sindano za kusisimua misuli
Nimeelewa sasa
IMG-20241115-WA0036.jpg
 
Naamini video haina mahusiano na ishu la azam na yanga.

Video ni 11/9 je tarehe hiyo inamuingialiano wowot na yanga vs azam ama tabora..

Vyumba vya kubadilisha nguo ndio vipo hivyo pale chamanzi complex?
 
Back
Top Bottom