Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nitafurahi kuona Yanga anakutana na Azam fainali.
Mimi nimesema "nitafurahi kuona........" Naamini umenielewa.Yanga fainali!?,utakuwa unaota ndoto za mchana,asanteni kwa kushiriki
Kwani Kuna Timu Ya Kumfunga Yanga Hapa Bongo?Yanga fainali!?,utakuwa unaota ndoto za mchana,asanteni kwa kushiriki
Hakuna, ndio maana msimu huu ameshachukua Kombe la MapinduziKwani Kuna Timu Ya Kumfunga Yanga Hapa Bongo?
Tofautisha Makombe na BonanzaHakuna, ndio maana msimu huu ameshachukua Kombe la Mapinduzi