King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 353
- 523
Kwa ufafanuzi huo unaona ili jambo litawezekana kweli??Anatua msimbazi
Mtupe B yetu moja mengine mtajuana na rambarambaAnatua msimbazi
Njaa itawauaMtupe B yetu moja mengine mtajuana na rambaramba
Kwa alivyoelezea Zaka Za kazi bila kuuma meno unaona kweli Simba watatoa huo mzigo wote na hali kioo sasa pale msimbazi?Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.
Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.
Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.
Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.
Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
Akili zao hua zimejaa MAVI.Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.
Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.
Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
Wewe kama mwana jangwani sio??😂Mtupe B yetu moja mengine mtajuana na rambaramba
Taaratibu mkuu, Zaka Za kazi huwa haumi menoAkili zao hua zimejaa MAVI.
Hii ndo ilikuwa point yake, sijui anaionaje simbaVilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.
Ana jua na uzoefu juu ya vilabu vya kariakoo wakimtaka mchezaji wa ndani ni ngumu sana kwao kutoa hela nyingi tena ya kununua mkataba wenye thamani ya billion kwenda juu ni ngumu ndio maana amejiamini kusema ivo,, Kazi kwa mabosi wa Simba kutuprove wrong na kuonesha upapaHii ndo ilikuwa point yake, sijui anaionaje simba
Kwaio tufanyajeTaaratibu mkuu, Zaka Za kazi huwa haumi meno
Absolutely 💯Wewe kama mwana jangwani sio??😂
Kwanza huyo Feisal hana thamani hiyo basi tuAna jua na uzoefu juu ya vilabu vya kariakoo wakimtaka mchezaji wa ndani ni ngumu sana kwao kutoa hela nyingi tena ya kununua mkataba wenye thamani ya billion kwenda juu ni ngumu ndio maana amejiamini kusema ivo,, Kazi kwa mabosi wa Simba kutuprove wrong na kuonesha upapa
Toa maoni yako na uwape pressure viongozi wako wavunje kibubuKwaio tufanyaje
Kuweka kipengele iko kuwa endapo Feitoto akienda Simba walipwe billion kwako imekaaje? 😂Absolutely 💯
Mh kwanini wakati ndio mchezaji top kwa sasa bongo? Una sababu na vigezo gani kusema ivo mkuu?Kwanza huyo Feisal hana thamani hiyo basi tu
tulijua ni swala la mda tu umma kujua kwamba dili la fei kwenda azam,yanga waliweka vipendele vyao vya mitego mitego walijua tu kolo koloni atajipendekeza B2 mezani deni la kanji litafikia B89 PATAMU HAPOMsemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.
Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.
Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.
VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
ukiona katambulishwa ukae ukijua deni la MO kwenu litakuwa kutoka B87 mpk B89Hizo ni porojo tu za kimichezo ila nyuma ya pazia anaujua ukweli kuhusu mazungumzo yaliyopofikia kuhusu Feisal kuuzwa kwenda Simba.
Unajua wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu hawana tofauti na wanasiasa kwa kupiga porojo zisizo na ukweli ndani yake.
Muda wa utambulisho ukifika kila kitu kitakuwa wazi.