Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

tulijua ni swala la mda tu umma kujua kwamba dili la fei kwenda azam,yanga waliweka vipendele vyao vya mitego mitego walijua tu kolo koloni atajipendekeza B2 mezani deni la kanji litafikia B89 PATAMU HAPO
Reply yako imenifurahisha sana, unaona Simba hawana njia nyingine kuepuka aya maana mnajuana njia zenu za mkato mkitaka mchezaji asa wa ndani?
 
Wakala wa Fei mbona anasema hakuna vipengele vyovyote kuhusu Yanga??
 
Ikumbukwe pia juzi kati kuna afisa habari alisema ili kuvunja mkataba wa mchezaji wao inahitajika bikioni 2, ila siku chache baadae wakatoa senkiyuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…