JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ndiyo bahasha ilimkuta ManuraNasikia wananunua mechi.
Hata kwa simba watakuwa walinunua mechi.
Wataishia tu kushika nafasi ya pili! Ubingwa ni mali ya Yanga kwa miaka 10 mfululizo.✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji
✅ 4-3 v Mtibwa Sugar
✅ 1-0 v Ruvu Shooting
✅ 1-0 v Namungo
✅ 3-2 v Coastal
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
Yanga atafikisha nane mzunguko wa kwanza kushinda mechi mfululizo✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji....
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
Yanga hawezi ukosa, hawafanyi uzembe huo.Azam FC wamenyongwa sana acheni na wao walambe asali mambo ni kwa zamu kama Yanga tutakosa ubingwa nitafurahi ukienda Chamazi
Tabia mbaya sana, wao wakishinda sawa. Wenzao nongwa.Makolo wasivo na aibu wanaanza kuwazushia kununua mechi hadi mabwana wadogo Azam. Makolo wamelaaniwa
Ndo maana tunasema kila mtu ashinde mechi zake, au akale alikoacha mboga.Azam wanashinda mech zao, ila makolo ndio wanapata taabu
Yanga ndio mama nibebe[emoji736] 1-0 v Simba
[emoji736] 1-0 v Ihefu
[emoji736] 2-1 v Dodoma Jiji
[emoji736] 4-3 v Mtibwa Sugar
[emoji736] 1-0 v Ruvu Shooting
[emoji736] 1-0 v Namungo
[emoji736] 3-2 v Coastal
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
Wewe mpira unaujuwa big up sanaAzam FC wamenyongwa sana acheni na wao walambe asali mambo ni kwa zamu kama Yanga tutakosa ubingwa nitafurahi ukienda Chamazi