Katika kujiandaa na michezo ya Kagame Cup itakayofanyika nchini kuanzia July 18, Azam FC itacheza na Friends kesho saa tatu asubuhi kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Hawa Friends Rangers inaonekana wamejipanga sana.. Walifungwa kwa tabu sana na wazee wa kimataifa 3-2, wakawafunga mwadui ya Julio 2-0 sasa azam wanaingia katika 18 zao.. Nawatakia kila la hero katika harakati zao kupanda ligi kuu.