Azam FC kumchukua Feisal Salumu ni njia iliyotengezwa na Simba SC kama Saidoo Ntibazonkiza alivyokwenda Geita Gold

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ilikua ni ngumu sana kwa Simba sc kwenda kukaa mezani na Yanga sc hakika wasingeweza kumpata Feisal Salumu.

NALIA NGWENA nimekumbuka kilichotumika kwa Saidoo Ntibazonkiza baada ya kwenda Geita gold Kisha akarudi Simba SC.

Ndicho ninachokiona kwa Feisal Salumu Azam imetumika Kama njia maana ukitazama Azam hawana uhitaji wa Feisal Salumu kutokana na wachezaji walionao.

Kuanzia viungo wakabaji na viungo washambuliaji Azam Fc Wana quality players kushinda hata timu za kariakoo kwa hiyo Feisal Salumu kwenda Simba Sc ni suala la muda tu.

Nawasilisha hoja.
 
6ce609b2-aa62-4cba-9f10-5a0cc1d4a109.jpg
 
Ilikua ni ngumu sana kwa Simba sc kwenda kukaa mezani na Yanga sc hakika wasingeweza kumpata Feisal Salumu.

NALIA NGWENA nimekumbuka kilichotumika kwa Saidoo Ntibazonkiza baada ya kwenda Geita gold Kisha akarudi Simba sc.

Ndicho ninachokiona kwa Feisal Salumu Azam imetumika Kama njia maana ukitazama Azam hawana uhitaji wa Feisal Salumu kutokana na wachezaji walionao.

Kuanzia viungo wakabaji na viungo washambuliaji Azam Fc Wana quality players kushinda hata timu za kariakoo kwa hiyo Feisal Salumu kwenda Simba Sc ni suala la muda tu.

Nawasilisha hoja.
Simba hii haiwezi battle la usajili na timu za yanga, Azam na Singida

Simba labda kwenye usajili wafanye battle na kina geita, kmc & so on, hii vita ya usajili kibongo bongo ni ya Azam na Yanga kwa mbali na singida, Simba pambaneni mtafute mwekezaji serious na siyo huyo kanjibai janjajanja!
 
Vitu vingine bana ni nadharia za kipuuzi kabisa....!!, Saido katoka yanga kaenda Geita, Kama Simba wangemhitaji wakati anaenda Geita wasimgempata?.
Kwahiyo Azam wao hawana nia yakuwa na wachezaji wazuri?,kwamba wanatumika na Simba?. Hebu tupe mfano mmoja wa mchezaji wa namna hiyo aliyetoka Azam kwenda Simba?.
 
Kuna hoja nyingine humu unaweza kudhani pzimeletwa na Mtoto wa chekechea.
 
Simba hii haiwezi battle la usajili na timu za yanga, Azam na Singida

Simba labda kwenye usajili wafanye battle na kina geita, kmc & so on, hii vita ya usajili kibongo bongo ni ya Azam na Yanga kwa mbali na singida, Simba pambaneni mtafute mwekezaji serious na siyo huyo kanjibai janjajanja!
Hiyo timu unayosema haiwezi kubattle na hizo timu ndo pekee imewahi kufika angalau robo final ya cafcl,hao wengine huwa wanakuwa wapi??
 
Back
Top Bottom