NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Viungo wakabaji wapoKwani mnamtaka??
Hongera sana.
Nenda huko [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila utopoloo jamanii khaaah.
Mna nini lakinii?? Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda huko [emoji41]
Maneno ya Haji manara kuhusu wenye akili walioko yanga ndio yanathibitika kuwa na kweli kupitia mtoa madaUnamzungumzia Saido aliyeachwa Yanga au yupo mwingine?
Stress ya kunyang'anywa kombe mdomoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila utopoloo jamanii khaaah.
Mna nini lakinii?? Khaaah
Uroho wao wa kupenda ubwabwa wa bure umewaponzaStress ya kunyang'anywa kombe mdomoni
Wakaja dar wameuza dhahabu Kwa glass ya juisii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stress ya kunyang'anywa kombe mdomoni
Wakaja dar wameuza dhahabu Kwa glass ya juisii
Simba hii haiwezi battle la usajili na timu za yanga, Azam na SingidaIlikua ni ngumu sana kwa Simba sc kwenda kukaa mezani na Yanga sc hakika wasingeweza kumpata Feisal Salumu.
NALIA NGWENA nimekumbuka kilichotumika kwa Saidoo Ntibazonkiza baada ya kwenda Geita gold Kisha akarudi Simba sc.
Ndicho ninachokiona kwa Feisal Salumu Azam imetumika Kama njia maana ukitazama Azam hawana uhitaji wa Feisal Salumu kutokana na wachezaji walionao.
Kuanzia viungo wakabaji na viungo washambuliaji Azam Fc Wana quality players kushinda hata timu za kariakoo kwa hiyo Feisal Salumu kwenda Simba Sc ni suala la muda tu.
Nawasilisha hoja.
Basi msihuzunike. Ameuzwa kwa fanta orange za Ikulu badala ya 112M sasaViungo wakabaji wapo
Viungo washambuliaji watashuka vyuma vipya.
Kuna hoja nyingine humu unaweza kudhani pzimeletwa na Mtoto wa chekechea.Vitu vingine bana ni nadharia za kipuuzi kabisa....!!, Saido katoka yanga kaenda Geita, Kama Simba wangemhitaji wakati anaenda Geita wasimgempata?.
Kwahiyo Azam wao hawana nia yakuwa na wachezaji wazuri?,kwamba wanatumika na Simba?. Hebu tupe mfano mmoja wa mchezaji wa namna hiyo aliyetoka Azam kwenda Simba?.
Hiyo timu unayosema haiwezi kubattle na hizo timu ndo pekee imewahi kufika angalau robo final ya cafcl,hao wengine huwa wanakuwa wapi??Simba hii haiwezi battle la usajili na timu za yanga, Azam na Singida
Simba labda kwenye usajili wafanye battle na kina geita, kmc & so on, hii vita ya usajili kibongo bongo ni ya Azam na Yanga kwa mbali na singida, Simba pambaneni mtafute mwekezaji serious na siyo huyo kanjibai janjajanja!