Azam FC kumchukua Feisal Salumu ni njia iliyotengezwa na Simba SC kama Saidoo Ntibazonkiza alivyokwenda Geita Gold

Ila Nyuzi za mashabiki WA Yanga ZIMEkaa kitoto sana.

Nimejaribu kufuatilia sana Kila nikiingia hapa jukwaani.

Kuna watu watatu Hivi.
Unaweza UKAJUA ni mtu mmoja lakini ni watatu.

AKILI ZAO NI FINYU MNO.
 
Ila Nyuzi za mashabiki WA Yanga ZIMEkaa kitoto sana.

Nimejaribu kufuatilia sana Kila nikiingia hapa jukwaani.

Kuna watu watatu Hivi.
Unaweza UKAJUA ni mtu mmoja lakini ni watatu.

AKILI ZAO NI FINYU MNO.
HUNA AKILI NA HUJUI ULISEMALO
 
NGOJA SIMBA WATAKAPO MSAJILI FEISAL NI SUALA LA MUDA TU.
 
Awezi kwenda Simba vipengele vya kimkataba vinawabana Azam, nafikiri Kila yanga inapokaribiaga kucheza na Azam uwa yanaibuka ya Feisal!
 
Huu ujinga na kukurupuka sio watatu ni wengi tu.Gongowazi likija la timu yao wote machizi tu hata kama akili zinafanya kazi kwingineko.Haji Manara ni saa mbovu lakini kwenye hili alisema kweli.
 
Huu ujinga na kukurupuka sio watatu ni wengi tu.Gongowazi likija la timu yao wote machizi tu hata kama akili zinafanya kazi kwingineko.Haji Manara ni saa mbovu lakini kwenye hili alisema kweli.
VIPI KUHUSU RAGE??
 
Aisee.......
 
fei na saido
fei na saidoo waliondoka yanga kwa namna tofauti sana mmoja aliachwa na timu mwingine aliiacha timu,hiyo comparison umechemka sana
 
faitoto wamchukue tu, hana maana. ila akienda simba, atakaa sana bench kwasababu simba kuna watu bora kuliko yeye wengi.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…