GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari mmeshajimaliza na tegemeeni Kichapo cha Magoli yao ya ajabu ajabu ya Mfungaji wao Mayele ambaye huwa anavilia Kitu 'Maalum' Mguu wake wa Kulia ambacho hukificha na Soksi yake ambacho baadae huwa Kinamsumbua mpaka Kumlazimisha ajifanye Kaumia ili atoke na aende Kukivua Benchini kwa Usiri mkubwa ili Cameras za Azam Tv zisimwone.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.