GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unasemaje?We jamaaa..🤣🤣🤣
Sijasema katika Kiatu chake bali katika Goti lake la Mguu wa Kulia. Nilishasema na Kutahadharisha tokea mwanzo kuwa kwa huu Uzi wengi wenu hamtanielewa, ila kwa wale Watu wa Mpira na Ulozi ( Ushirikina ) wamenielewa vizuri mno tu.😂😂😂😂 acha woga mkuu.
Kiatu cha mayele kina nini vile😂😂
Umbeya ukizidi sana mwishowe utavishwa dera.msimu huu na mingine ijayo Simba mtaweweseka sana mwishowe mmeanza kutoa siri ya mambo ambayo Simba mmekuwa mkiyategemea kufanikisha ushindi wa timu yenu.Mwembwe nyingi kwa mkapa hatoki mtu mkienda nje mnapigwa mnarudi kutegemea kupata ushindi kwa mkapa huku kumbe mkitegemea ushirikina badala maandalizi bora kuelekea mchezo husika.Uchawi hauvuki bahari ndicho kinachowasumbua mnafurukuta furukuta hapa hapa kwa mkapa mkitoka tu kichapo katika mzingira hayo ni ngumu kuchukua kombe la klabu bingwa au shirikisho.Wekezeni kwenye wachezaji wenye uwezo na mumtegemee Mungu mtafanikiwa vinginevyo mtazidi kuaribikiwa kwani Mungu lazima adhihirishe ukuu wake kwamba yeye ni mkuu kuliko hayo madudu mnayoyategemea.Kizuri zaidi Manara anawajua zaidi nje ndani hampinduki ni mwendo huo huo msimu kwa msimuKwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari mmeshajimaliza na tegemeeni Kichapo cha Magoli yao ya ajabu ajabu ya Mfungaji wao Mayele ambaye huwa anavilia Kitu 'Maalum' Mguu wake wa Kulia ambacho hukificha na Soksi yake ambacho baadae huwa Kinamsumbua mpaka Kumlazimisha ajifanye Kaumia ili atoke na aende Kukivua Benchini kwa Usiri mkubwa ili Cameras za Azam Tv zisimwone.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.
Kila kitu unajua wewe.Waambie Simba na wengine wamtegemee Mungu yeye ndiyo kila kitu huko kwengine wanapoteza muda na kujidanganya hawatofanikiwa kamwe.Yanga wao wanamtegemea sana Mungu kuliko uchawi ambao Simba wamekuwa wakiutegemea wazi wazi bila hofu yoyote.Sijasema katika Kiatu chake bali katika Goti lake la Mguu wa Kulia. Nilishasema na Kutahadharisha tokea mwanzo kuwa kwa huu Uzi wengi wenu hamtanielewa, ila kwa wale Watu wa Mpira na Ulozi ( Ushirikina ) wamenielewa vizuri mno tu.
vipi Makolo wao wanavalia wapi hayo makitu.?Sijasema katika Kiatu chake bali katika Goti lake la Mguu wa Kulia. Nilishasema na Kutahadharisha tokea mwanzo kuwa kwa huu Uzi wengi wenu hamtanielewa, ila kwa wale Watu wa Mpira na Ulozi ( Ushirikina ) wamenielewa vizuri mno tu.
Acha uongo wewe,hakuna uchawi kwa mayele,kwani mbona siku nyingine huwa hafungi,hiyo dawa huwa ikonwapi?Kwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari mmeshajimaliza na tegemeeni Kichapo cha Magoli yao ya ajabu ajabu ya Mfungaji wao Mayele ambaye huwa anavilia Kitu 'Maalum' Mguu wake wa Kulia ambacho hukificha na Soksi yake ambacho baadae huwa Kinamsumbua mpaka Kumlazimisha ajifanye Kaumia ili atoke na aende Kukivua Benchini kwa Usiri mkubwa ili Cameras za Azam Tv zisimwone.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.
UMEME tenaKwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari mmeshajimaliza na tegemeeni Kichapo cha Magoli yao ya ajabu ajabu ya Mfungaji wao Mayele ambaye huwa anavilia Kitu 'Maalum' Mguu wake wa Kulia ambacho hukificha na Soksi yake ambacho baadae huwa Kinamsumbua mpaka Kumlazimisha ajifanye Kaumia ili atoke na aende Kukivua Benchini kwa Usiri mkubwa ili Cameras za Azam Tv zisimwone.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.
Mkuu unajua taratibu za mpira wa miguu lakini? Mgeni anaruhusiwa kufanyia mazoezi katika uwanja wa mwenyeji siku kadhaa kabla ya mechi.Kwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari mmeshajimaliza na tegemeeni Kichapo cha Magoli yao ya ajabu ajabu ya Mfungaji wao Mayele ambaye huwa anavilia Kitu 'Maalum' Mguu wake wa Kulia ambacho hukificha na Soksi yake ambacho baadae huwa Kinamsumbua mpaka Kumlazimisha ajifanye Kaumia ili atoke na aende Kukivua Benchini kwa Usiri mkubwa ili Cameras za Azam Tv zisimwone.
Ni wachache sana mtanielewa kwa hili.