GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Msimpange kabisa. Hiki ' Kitoto ' ni Kinafiki sana na ndiyo kwani kinacheza ' Kiunazi ' mno kikiwa na ' Mahaba Niue ' yake kwa Timu ya Baba yake Mzazi ya Yanga SC. Na Siku Azam FC huwa tunawashauri kwamba kama mkitaka Kumfunga Yanga SC mkicheza nao msiwe mnakapanga haka ' Katoto ' hamsikii tu.
Huwa akicheza dhidi ya Simba SC ' anahaha ' Uwanja mzima na Kucheza Rafu za ' Kipumbavu ' kabisa dhidi ya Wachezaji wa Simba SC ila akicheza na Yanga SC anakuwa ' mzito ' na hata hakimbii sana wala Kucheza ule mpira wake mkubwa alionao na kuna muda huwa hadi anazitafuta Kadi za Njano au Nyekundu ili mradi tu apewe atoke nje aipunguze Nguvu Timu yake ya Azam FC na ifungwe na Yanga SC.
Kananiudhi kweli kweli na kameshanijua kuwa ' nakachukia ' na ' nakavizia ' na ndiyo maana huwa akija Viwanja vya Barafu Kujiunga na Kujichanganya na Sisi ' Maveterani ' tunaokuwa pale pamoja na Wachezaji wa sasa akina Kelvin Yondan, Ibrahim Ajib, Fesal Salum, Juma Abdul, Gadiel Michael, Twaha Kiduku, Jonas Mkude, Said Ndemla, Mohammed Hussien Tshabalala, Ramazan Singano na wengineo kakiniona tu ' Kanaogopa ' Kucheza na kanabaki tu kuwa Mtazamaji. Na Siku akicheza tu Mechi za ' Veterani ' namtengua Goti lake au Enka au namtwanga Ndoo / Kichwa kwani ni ' Kanafiki ' sana.
Ipo Siku atajaa tu katika ' Reli ' yangu huku Viwanjani Kwetu ' Uswahilini ' na ndipo atanijua vyema na kujua kuwa Kwanini Wimbo wa Taifa hauna Video.
Na Wewe Kocha Idi Cheche unataka tukupigie Kelele mara ngapi kuwa usiwe unampanga Abubakary Salum ' Sure Boy ' hasa katika Mechi unazocheza dhidi ya Yanga SC kwakuwa huyo ndiyo ' Mhujumu ' namba moja wa Klabu yako ya Azam na ndiyo maana hadi hivi leo mnahangaika tu na mpo mpo?
Abubakary Salum ' Sure Boy ' nakutamani kweli kweli!!!!!!
Nawasilisha.