[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera zao!Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi 2018, baada ya kuifunga URA ya Uganda kwa penalti 4-3. Azam inashinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo.
Vp umeuchek au umeuangalia? maana me cjauona!Kipa wa azam yupo vzr sn ivo amechangia kwa % kubwa
Sio mbaya vijana tayari wameutafunaHeko Azam Kwa ubingwa mfupa uliomshinda Simba , Yanga akajidai anauweza kumbe hamna kitu mbwembwe tu
Pole mkuu kwa denialHalafu nawadharau sana wote mliokuwa mnaiangalia hiyo Fainali ya Mapinduzi kwani mnaonyesha kabisa kwamba Wote hamjui Mpira na hamna cha kufanya. Hivi Wewe una akili zako kamili utaacha kweli kwenda Kutongoza Mademu au Kubeti au Kumbaioloji Mkeo na ukakesha kuangalia Fainali ya ' Litimu ' libovu kabisa la Azam FC? Kwanza nasikia Referee kawaonea mno URA Kipindi cha Kwanza na naweza kusema kwamba Bingwa ni URA kutoka nchini Uganda sema tu Marefarii watakuwa walitishwa au walihongwa ili wafanye kila wawezalo Azam FC iwe Bingwa. Hakuna Timu ninazozichukia Tanzania kama Yanga na Azam na hivi karibuni nijiandaa pia kuanza kuichukia Timu ya Singida United.
Pole mkuu kwa denial
PovuMimi ninachojua Bingwa halali leo Timu ya URA kutoka nchini Uganda kwani walionewa na Mwamuzi katika kila Kipindi.
Kila MTU anastarehe yake Mkuu !!!Halafu nawadharau sana wote mliokuwa mnaiangalia hiyo Fainali ya Mapinduzi kwani mnaonyesha kabisa kwamba Wote hamjui Mpira na hamna cha kufanya. Hivi Wewe una akili zako kamili utaacha kweli kwenda Kutongoza Mademu au Kubeti au Kumbaioloji Mkeo na ukakesha kuangalia Fainali ya ' Litimu ' libovu kabisa la Azam FC? Kwanza nasikia Referee kawaonea mno URA Kipindi cha Kwanza na naweza kusema kwamba Bingwa ni URA kutoka nchini Uganda sema tu Marefarii watakuwa walitishwa au walihongwa ili wafanye kila wawezalo Azam FC iwe Bingwa. Hakuna Timu ninazozichukia Tanzania kama Yanga na Azam na hivi karibuni nijiandaa pia kuanza kuichukia Timu ya Singida United.