Azam haitaki pesa iliyopatikana kwa njia haramuAzam hafungamani na kamari ndo mana hata haionyeshi hiyo michuano ya sportpesa
Azam haitaki pesa iliyopatikana kwa njia haramu
Azam hafungamani na kamari ndo mana hata haionyeshi hiyo michuano ya sportpesa
Ila kukwepa kodi bandari kavu na meno ya tembo ni pesa safiAzam haitaki pesa iliyopatikana kwa njia haramu
Ila kukwepa kodi bandari kavu na meno ya tembo ni pesa safi
1xBet really? Hapana ni Total, fuatilia kwa umakini.Kama ni kweli Azam hataki kuonyesha na kushiriki mashindano yanayodhaminiwa na kamari ( SportPesa Cup) basi ajue anajidanganya mwenyewe kwa sababu zifuatazo:
1. Mashindano ya Caf Champions League/ Confederations Cup yanadhaminiwa na 1XBet ambayo pia ni kampuni ya kamari kama ilivyo SportPesa. Azam tv wanaonyesha mashindano hayo live.
2. Timu ya Azam FC pia huwa inashiriki mashindano ya Caf ( yanayodhaminiwa na 1xBet)
Sasa sioni tofauti yoyote hapo kwenye Uharamu.
Soccer ni mchezo halali tatizo shetani anaingia kwenye huu mchezo kupitia kamari.
Hiyo ya pembe za ndovu sio. Ila kukwepa kodi pale bandarini hii ilimkuta asee na akaamriwa alipe.Una ushahidi?