Azam FC ni vituko, selling kipre Jr for 300k USD. with CAFCL next

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.

which made Feisal shine.

Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.

Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.

Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?

Utani huu. 😂😂
 
Una uandishi flani kisasa na unaonekana ni mtu mzima. Kipre kasajiliwa na timu gani?

Thread nzima unaandika kama unalia. Acha hizo dogo
mc alger
-algeria league champion and fa Cup finalist.

-my writing is called soul writing. check that out.

-am not even 30.
 
Ikwa haraka haraka hata mimi sijapendezwa na kuuzwa kwake lakini nategemea na situation mzee, kama je ni mchezaji kagoma anahitaji kuondoka, je kama kuna release clause.. Huenda wametizama wameona hiyo ndio best solution, kikubwa warudi sokoni wachukue chuma kingine, dunia haijawahi kuishiwa na wachezaji bora.
 
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.

which made Feisal shine.

Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.

Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.

Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?

Utani huu. 😂😂
kipre alikuwa anataka kucheza yanga alikuwa haitaki tena azam,hivyo dawa ni kumuuza
 
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.

which made Feisal shine.

Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.

Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.

Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?

Utani huu. 😂😂
Hahaha mkuu wewe ni mkongoman?
 
Acha ujinga 😂😂. watanisaka polisi nitafutwe kama sativa.
Sio kutafutwa tu bali na marungu kwenye joints ukome kuja bongo toka Congo yatakuhusu, kuna mengine waliyofanyiwa kina Sativa and company , hakuna aliewahi kuyasema!
 
Hizo 300 k ndio nini? Mimi hii lugha ya 30k sijawahi kuelewa. Sio kwa nia mbaya lakini mkuu
 
Back
Top Bottom