Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
mc algerUna uandishi flani kisasa na unaonekana ni mtu mzima. Kipre kasajiliwa na timu gani?
Thread nzima unaandika kama unalia. Acha hizo dogo
Jitahidi uwe unaandika direct, usiandike kama unarudi nyumamc alger
-algeria league champion and fa Cup finalist.
-my writing is called soul writing. check that out.
-am not even 30.
i writing is art. it's a message that matters. write whateverJitahidi uwe unaandika direct, usiandike kama unarudi nyuma
kipre alikuwa anataka kucheza yanga alikuwa haitaki tena azam,hivyo dawa ni kumuuzakipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.
Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.
Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?
Utani huu. ππ
Hahaha mkuu wewe ni mkongoman?kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.
Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.
Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?
Utani huu. ππ
Acha ujinga ππ. watanisaka polisi nitafutwe kama sativa.Hahaha mkuu wewe ni mkongoman?
yani cheap Sana. alafu the most important player in the team.Hata mimi nlishangaa jamaa kuuzwa kwa bei hiyo
Writing ni skill. Kupangilia, ukizingatia mtiririko wa hoja. Hana skill hiyo kwahiyo hawezi. MsameheJitahidi uwe unaandika direct, usiandike kama unarudi nyuma
Sio kutafutwa tu bali na marungu kwenye joints ukome kuja bongo toka Congo yatakuhusu, kuna mengine waliyofanyiwa kina Sativa and company , hakuna aliewahi kuyasema!Acha ujinga ππ. watanisaka polisi nitafutwe kama sativa.
niandike kama nalipwa na jamii forum sioWriting ni skill. Kupangilia, ukizingatia mtiririko wa hoja. Hana skill hiyo kwahiyo hawezi. Msamehe
ππππUna uandishi flani kisasa na unaonekana ni mtu mzima. Kipre kasajiliwa na timu gani?
Thread nzima unaandika kama unalia. Acha hizo dogo
K= 000Hizo 300 k ndio nini? Mimi hii lugha ya 30k sijawahi kuelewa. Sio kwa nia mbaya lakini mkuu