Azam fc nyumba yenye wajenzi lukuki lakini imeanza kuvuja

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
176
Wadau hii timu ya Azam inatatizogani? ni mgomo baridi wa wachezaji, kocha ni wa kuungaunga au vipi? maana ni moja ya timu zilizosheheni wachezaji wazuri.
 
wananikumbusha Man City!
wanavyofanana??
 
Sure ni kama man city! ... Ilikuwa na wachezaji lukkuki wazuri
 
maana usajili wao ulikuwa ni mkubwa na wa gharama kubwa,
 
Back
Top Bottom