Wadau hii timu ya Azam inatatizogani? ni mgomo baridi wa wachezaji, kocha ni wa kuungaunga au vipi? maana ni moja ya timu zilizosheheni wachezaji wazuri.