Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

Shida ya Azam wanajiingiza kwenye mpira wa siasi kama Simba na Yangu piah Azam hawana mashabiki wa kuwapigia kilele kipindi ambapo timu inafanya vibaya kwa kikosi chake cha msimu uliyo pita ndio kingekuwa cha simba ,simba ingechukua ligi kuu
 
Naona huu uzi umedoda eti! Ngoja niuchangamshe kidogo ili mdogo wangu Popoma aendelee kupata nguvu ya kuposti uzi kila baada ya dakika 2!
 
Wenzako wanawaza kimataifa zaidi.yaani sijui haya makolo kolo yanawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili.
 
Daaah leo umechamba. Kumbuka ni timu yake n si y wanacbama.kama uliko zoea kisa ww ni mwanachama mfu.not active member.
Azam fc kanyaga twende
 
Sio Azam wenye shida, shida inaanza Kwenye vilabu hivi vikubwa.
 
Shida ya Azam wanajiingiza kwenye mpira wa siasi kama Simba na Yangu piah Azam hawana mashabiki wa kuwapigia kilele kipindi ambapo timu inafanya vibaya kwa kikosi chake cha msimu uliyo pita ndio kingekuwa cha simba ,simba ingechukua ligi kuu
We unaamini kikosi cha Azam kulikua Bora kuliko cha Simba ?? Hebu fafanua
 
Kile kipindi cha Manchester united ya Feguerson imetawala soka la England, Mashabiki wa United wangewez kukuona Chizi au hujui kabisa mpira kama ungewaambia iko siku Mancity nayo ita dominate Premier na kuwa galagaza kabisa akina Man u, liverpool, Chelsea na wengine. Nataka kusema nini....?? Mpira ni uwekezaj + Mda tu, au rejea kule South.....Mamelod Sundown alivyopindua utawala wa vigogo. Azamfc anawatafuta sana Simba na Yanga ni suala la mda tu.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu,ulaya hakuna ujinga ujinga kama huku,huu usimba na uyanga ndo unawa cost sana timu ndogo.

Ulaya hata kama timu iwe ndogo kama kina sherfield sjui huko,ila wanakuwa wana die hard fans.

Ila huku bongo,kila mtu ni aidha awe simba au yanga,unaweza kuta hata popat au yusuf bakhreaa ni mafan wa simba au yanga,yes why not?? Kama baba yao mzee salim bakhresa ni simba lia lia hao wanae watashindwa kushabikia timu hizo kubwa??,hilo ndo tatizo la soka letu hapa bongo
 
Azam ni sawa na dame mrembo aliyeolewa na bwana ambaye ana kila kitu, lakini dame lazima achit.
 
NAONGEZEA KWA KUSEMA HIVI.

MAADAM Feisal Salum ALIONDOKA YANGA KWA KUIDHIHAKI NA KUONDOKA KWA MABAVU NA KEJELI BASI NI DHAHIRI HATAFANikiwa HADI ATAKAPORUDI KUMTAKA RADHI MZEE WA GSM PAMOJA NA HARSI SAIDI.

MUNGU HAPENDEZWI NA MTU MWENYE KIBURI
 
Back
Top Bottom