Azam Fc tunafukuza lini kocha na Agrey Moris na wazee wenzake

Azam Fc tunafukuza lini kocha na Agrey Moris na wazee wenzake

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva.

Aliyegundua icecream za ukwaju ana akili kuliko viongozi wa Azam FC.

Mnawapa shida wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea wakati wa uchambuzi ikizingariwa wote watoto wa baba mmoja.
 
Back
Top Bottom