Hivi Ramadhan Singano (MESSI) Yuko Wapi!! Au Leo Amepewa Nafasi Ya Kucheza!!??? Maana Sijamsikia Kitambo!!!!
Hivi Ramadhan Singano (MESSI) Yuko Wapi!! Au Leo Amepewa Nafasi Ya Kucheza!!??? Maana Sijamsikia Kitambo!!!!
Kagera Sugar wanakosa goli la wazi.
Yani ni wajinga sijapata kuona.
Acha wacharazwe!
Kagera walikua na uwezo wa kashinda hii mechi.
Sijui wakikutana na Yanga watacheza hivi hivi.
HT:Ashanti United 0 - 0 Kiluvia United.Ligi daraja la kwanza ,uwanja wa Karume Dar.
Bado haujaisha
Yanga wao vipi weekend hii?