Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Singano yupo benchi upande wa Azam.
Mechi nyingine 27/09/2015:
African SC v Ndanda FC, Mkwakwani - Tanga.
Acha apashe joto benchi, hakuenda Azam kucheza mpira bali kujipatia 'MKUKUTA' kwa ajili ya maisha yake. Nafasi ya kucheza mpira ameiacha Simba SC.
African sports Na Minziro washashuka daraja,wanakamilisha tu ratiba
Juma Nyoso ndo nahodha wa MBEYA city
Mbeya city nipigie huyo AZAM ili hasitusogelee huko juu.