Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Sasa assist sio takwimu nzuri?Kutoa assit moja ndio kurudi kwenye ubora?
Wachambuzi uchwara kama nilivyo shabiki uchwara
Mapema sana kutamka amerudi kwenye ubora, ubora ni mchakato mkuuSasa assist sio takwimu nzuri?
Au kwakua hayupo kwako?
Kwanza hata mtoa mada kazingua.Mapema sana kutamka amerudi kwenye ubora, ubora ni mchakato mkuu
Ebu niambie mara ya mwisho ngoma kaanza lini kwenye first eleven ya Al hilal?Fabrice Ngoma hayupo wangeshindwaje kushinda?
Hili liko Kwa mashabiki dunia nzima Mkuu. Wachezaji wanaoondoka bila kuacha mahusiano mazuri na mashabiki huzomewa kote duniani na wengine hufikia Hadi kuchoma jezi yake. Luis Figo toka Barcelona kwenda Real Madrid ilibidi hata vyombo vyake apelekewe. Jana kulizuka habari zisizojulikana chanzo juu ya Mkataba wa Chama na kwamba anaondoka Simba Kwa vile si chaguo la Robertinho. Tazama maumivu waliyopata mashabiki wa Simba Kwa Muda mfupi. Jonas Mkude kaachwa na Simba na kapewa Kwa Heri, jezi No.20 ikastaafishwa Kwa heshima yake na akakaribishwa kuagwa siku ya Simba day, lakini tetesi za kutakiwa na baadaye kusajiliwa na hasimu wao huenda zikabadili neema yote aliyoahidiwa. Usishangae Mkude akawa mchezaji anayezomewa na mashabiki wa Simba na kushangiliwa Sana na mashabiki wa Yanga siku ya mechi Kati yao.Mashabiki wa Yanga ndo wanaongoza kuumia pale wakiondokewa na mchezaji.
Morison alipo ondoka Yanga waliumia sana, ikawa kila kitu anachofanya hata kiwe kizuri lazima wam dis!
Sasa hivi ni feisali, yaani hata afanye nini mashabiki wa Yanga lazima wamponde!
Inabidi mjifunze kuwa hawa wachezaji sio wenu milele, na hamna hatimiliki ya kumiliki mchezaji for the whole life!
Ebu niambie mara ya mwisho ngoma kaanza lini kwenye first eleven ya Al hil
Itoshe tu kusema Yanga mmezidi.Mna tabia za kikekike Sana. Kwenu Kila mchezaji anaeondoka kama alikuwa muhimu kwenye kikosi chenu lazima mmuwekee vinyongo na visasi visivyo na Maana. Wakati mwingine mnaweka hadi ahadi za kuwaroga. Nakumbuka sakata la Nyionzima , Ajibu ,morison na sasa Feisal . Kwanini nyie tu?Hili liko Kwa mashabiki dunia nzima Mkuu. Wachezaji wanaoondoka bila kuacha mahusiano mazuri na mashabiki huzomewa kote duniani na wengine hufikia Hadi kuchoma jezi yake. Luis Figo toka Barcelona kwenda Real Madrid ilibidi hata vyombo vyake apelekewe. Jana kulizuka habari zisizojulikana chanzo juu ya Mkataba wa Chama na kwamba anaondoka Simba Kwa vile si chaguo la Robertinho. Tazama maumivu waliyopata mashabiki wa Simba Kwa Muda mfupi. Jonas Mkude kaachwa na Simba na kapewa Kwa Heri, jezi No.20 ikastaafishwa Kwa heshima yake na akakaribishwa kuagwa siku ya Simba day, lakini tetesi za kutakiwa na baadaye kusajiliwa na hasimu wao huenda zikabadili neema yote aliyoahidiwa. Usishangae Mkude akawa mchezaji anayezomewa na mashabiki wa Simba na kushangiliwa Sana na mashabiki wa Yanga siku ya mechi Kati yao.
Ulitaka afanyeje anye uwanjani?Kutoa assit moja ndio kurudi kwenye ubora?
Wachambuzi uchwara kama nilivyo shabiki uchwara
Ndiyo super star wa bongoAlafu muwe mnasema kweli km n Alahly youth sio kukurupuka
Hakuchezaka angalie mechi ya alhilal vs sundowns
we ka angalie acha kujibu jibuHakucheza
Huo ni mwanzo mzuriKutoa assit moja ndio kurudi kwenye ubora?
Wachambuzi uchwara kama nilivyo shabiki uchwara
Sasa amesifiwa kama vile amekuwa Mayele au Saidoo🤣Huo ni mwanzo mzuri