Azam FC wajigamba kushusha mchezaji mpya mkali

Azam FC wajigamba kushusha mchezaji mpya mkali

Joined
Jul 15, 2024
Posts
19
Reaction score
15
Ila hawa Azam Fc wana mikwara; kabla wiki haijaisha wamejigamba kushusha mashine moja matata mnoo ukimcompare na Bukayo Saka ni kitu mulemule. Je unadhani atakuwa ni mchezaji gani huyo ?
 
Back
Top Bottom