Shadida Salum
Journalist at JamiiForums
- Sep 11, 2020
- 69
- 105
Mashabiki wa Tanzania!Wakikutana na Simba wanakaza
Mashabiki wa Tanzania Majinga
Majinga majinga tuu.....nshafikia maamuzi kwamba siwezi jadili mpira na watu mtaaniMashabiki wa Tanzania..!
Kesho Yanga wanakeketwa mchana kweupeeeeeeKesho Timu ya Wananchi inajiongezea point zake tatu muhimu kwa vibonde Mbeya City. Wale washirikina wakirudi, wanakuta manyoya tu.