Imekwisha hioLeo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi iliyochezwa ya awali Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu kuweka uwanja sawa
PyramidSecond round anakutana na nani
Kila la heri Wananchi, kila la heri Biashara united.Kila La Heri Azam
DoohPyramid
Hatuna cha kuwadaiDooh
Azam wakomae tu, hao Pyramid ni wazuri lakini naamini wanafungika, concentration is everything defence and attack.Hatuna cha kuwadai
Pyramid level yao ni CL, wapo shirikisho kwasababu ligi yao ina Ahly na Zamalek.