Jayden News
Member
- Aug 28, 2022
- 29
- 94
Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza kuifundisha Coton ya Cameroon (2007-2011) na baadaye USM Alger ya Algeria.