Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Aristica Cioaba (45) anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na bechi lake zima la ufundi
Kocha huyo kutoka nchini Romania amesaini mkataba wa mwanzo wa miezi sita na Azam FC, atasaidiana na makocha Wazawahttps://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2aedb0a9a6e0f653cb230743dab9504c.jpg[/IMG
Aristica ametokea Aduana stars ya Ghana walikotoka wachezaji Yakub Mohamed na Mohamed Yahya waliojiunga na Azam mwezi Desemba mwaka jana.