Azam FC yamtangaza Mromania Aristica, kuwa kocha mkuu

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho.

Aristica Cioaba (45) anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na bechi lake zima la ufundi

Kocha huyo kutoka nchini Romania amesaini mkataba wa mwanzo wa miezi sita na Azam FC, atasaidiana na makocha Wazawahttps://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2aedb0a9a6e0f653cb230743dab9504c.jpg[/IMG
Aristica ametokea Aduana stars ya Ghana walikotoka wachezaji Yakub Mohamed na Mohamed Yahya waliojiunga na Azam mwezi Desemba mwaka jana.
 
aisee,karibu sana bongo!naomba weka mikakati kabambe ili timu isonge mbele!

Tuanze na kombe la mapinduzi.
itakuwa zamu ya SIMBA kulewa juice za AZAM tukiwalazmisha kutumia 4G!
 
Unasema MCHANA HUU, afu uzi ndio kwanza una dk 20 tu. Btw bravo Azam, taarifa iliotoka inasema kocha hajapata vibali vya kufanyia kazi bado, so ataanza kazi ktk VPL, huko zenji na yeye ni mtazamaji kama Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…