Azam FC yangu mbovu. Kesho Simba wachukue tu point 3

Azam FC yangu mbovu. Kesho Simba wachukue tu point 3

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu.

Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni kuchukua Makocha wa Simba au yanga wakisuke KIKOSI vizuri.

Sema Azam fc Dini nyingi sana . Huu ndo ujinga wa pale Azam

Hongera Simba kwa point 3

Soma Pia: Azam FC VS Simba SC |NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26 ,2024
 
Du kwamba wanaangalia sigda badala ya vyeti ili kupewa tinu
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Back
Top Bottom