Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Aisee mikia kumbe mnajua kulamba koni, kiustadi hivi? Mmeweka madoido yote kuilamba hiyo koni ya Azam.
Mkumbuke tu mwenzako akinyolewa, zako tia maji...
 
Hivi hizi timu za bongo wenzangu mnazishabikia kama uzalendo tu au mnakua kweli mnafurahishwa na soka wanalocheza?
Binafsi sifurahshwi kabisa na uchezaji wao,ni kama vile watu ndo wanajifunza kucheza mpira yani.
 
Tunasawazisha dkka ya 90 tunaenda matuta,tunachukua ubingwa
Labda ubingwa wa viroba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Simba msiwaze bhana mpo mikononi mwa Jecha, lolote linaweza kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…