Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
Wewe unangapBei ya moto sana
DSTV ni 59,000Dstv kwa hiyo bei unapata na kifurushi cha miezi kadhaa.
Chaguo ni lako.
Yes ipoooooRisiti ya efd unayo?
Ndio maana nikamwambia kwa bei hiyo unafungiwa kila kitu na unalipia subscription ya miezi kadhaaDSTV ni 59,000
Kwaiyo ni bora ukanunue dstvNdio maana nikamwambia kwa bei hiyo unafungiwa kila kitu na unalipia subscription ya miezi kadhaa
Sawa njoo boss uchukueKula 40k
Kwa sasa dstv ni bora kuliko azam, zaid ya simba na yanga azam hamna kituKwaiyo ni bora ukanunue dstv