King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Aongeze mishahara
Wanchukue na hemed kivuyo
Mkuu hao mbona wameondoka kitambo? Labda utwambie mkataba mnono ni Tsh ngapi? Ukimuondoa Patrick hao wengine sijaona pengo lao!
Kwa mtu anaye fatilia Hot mix atakubaliana nami kuwa waliopo wanafit zaidi! Belinda semtande ana uwezo wa kujenga hoja kuzidi huyo Fatma! Na Adrian hatii mguu kwa yule aliyopo na waulize watu wanao fatilia kipindi watakwambia! Hakuna pengo la Adrian wala Fatima!Hot mix ya Adrian Fatna Ramole na Anna Mbajo ni sawa na Hii ya sasa ambapo mdau alisema Eatv sasa imeishiwa presenters kwakua inaweka watangazaji wenye personalities kama waimba kwaya? Acha nyodo binti wa kihaya..
Kwa mtu anaye fatilia Hot mix atakubaliana nami kuwa waliopo wanafit zaidi! Belinda semtande ana uwezo wa kujenga hoja kuzidi huyo Fatma! Na Adrian hatii mguu kwa yule aliyopo na waulize watu wanao fatilia kipindi watakwambia! Hakuna pengo la Adrian wala Fatima!
Kwakuwa umeshindwa kujenga hoja umeanza mashambulizi naomba nojitoe kwenye huu mjadala! Ukiwa tayari kwa mjadala bila matusi nitarudi!

hee rehema salim kaondoka?
Mkuu hao mbona wameondoka kitambo? Labda utwambie mkataba mnono ni Tsh ngapi? Ukimuondoa Patrick hao wengine sijaona pengo lao!
Mkubwa unataka kuniambia Rehema ameondoka kitambo ITV? Mie ninayo Records yake akisoma habari hapa na pale ITV kama ya wiki mbili hivi na ndio maana siku hizi anasoma Farhia medree,aliyeondoka kitambo ni Adrian Stepp tu lakin wengine ni wapya.
Aisee huyo wakimchukua sijui nitalia ama nini....namkubali hatariiii sasa hayo mambo ya kuanza kutafuta azam tv naanzaje?