M Mpira wa kona JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 350 Reaction score 338 Jan 13, 2017 #1 Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba bao 1-0.Heko Azam
Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba bao 1-0.Heko Azam
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Jan 13, 2017 #2 Leo kidogo kutakuwa na utulivu ktk vikundi vya whatsap na mitandaoni. Angeshinda Simba au Yanga kungekuwa na maneno ya shombo balaa.
Leo kidogo kutakuwa na utulivu ktk vikundi vya whatsap na mitandaoni. Angeshinda Simba au Yanga kungekuwa na maneno ya shombo balaa.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Jan 13, 2017 #3 Kocha wa sasa wa Azam anakitu fulani anataka kukifanya. Je ni ubora wake au aliachiwa timu iliyoandaliwa tayari kwa ushindi yeye kaja kumalizia tu?
Kocha wa sasa wa Azam anakitu fulani anataka kukifanya. Je ni ubora wake au aliachiwa timu iliyoandaliwa tayari kwa ushindi yeye kaja kumalizia tu?
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 13, 2017 #4 Hiyo heading yako nimeipenda mno!
SPECIAL TMN JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 1,111 Reaction score 807 Jan 13, 2017 #5 Hata mpira wa leo ni tofauti sana na wa yanga kumbe alistahili kupigwa nne kwa mpira wa leo nilivyouona.
Hata mpira wa leo ni tofauti sana na wa yanga kumbe alistahili kupigwa nne kwa mpira wa leo nilivyouona.
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Jan 14, 2017 #6 Azam ananunua mechi
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,063 Reaction score 6,405 Jan 14, 2017 #7 Jamaa kaamua kupiga mbizi from zenji hadi dar