Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Simba wanamtaka Fred Jobe Magoli. Pia wanataka kumsajili Kalpana pamoja nami muuza madafu wa Ikulu.Yanga wanamtaka Kennedy Juma
Timu gani inakamia mechi nne tu ligi mzimaMwakani tutajipigia simba na yanga mpaka waombe pooh!
Kwani azam so far ina point ngapi?Timu gani inakamia mechi nne tu ligi mzima
Hiyo timu ndio Yanga walimtoa yule beki MAMADOU DOUMBIA hata kuzima mpira hawezi. Yuko AVIC TOWN NI MPISHI WA MAJINI.DONE DEAL β
Tumefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) ya kumsajili kiungo mshambuliaji wao, Franck Tiesse.
Nyota huyo Muivory Coast, amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili utakaonza rasmi msimu ujao 2024/25.
Welcome to Azam FC, Tiesse! π
View attachment 2977700