Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nilivyoangalia mchezo baina ya Azam na Yanga kwenye fainali za CRDB, ni wazi kuwa bila ya kuwa golikipa Mohammed Mustafa, Azam ingekuwa na wakati mgumu sana. Kwa vile Azam inaingia kwenye mashindano ya CAF Championship, nadhani ni jambo la busara kwao kumnunua mchezaji huyo moja kwa moja baada ya mkopo wake kuisha tarehe 30 mwezi huu.
Timu yake ya El-Mereikh bado ya pili kwa sasa hivi kwenye ligi ya Sudan ambayo imesimama, kwa hiyo japokuwa timu hiyo ni mojawapo ya timu mbili zitakazoiwakilisha Sudan kwenye mashindano ya CAF mwakani, haina uwezekano wa kusonga mbele sana kwa vile wachezaji wake wengi hasa wa kimataifa walishajiunga na timu nyingine.
Ni wakati mwafaka kwa Azam kumnunua kabisa kipa huyo abakie Azam na kutoa ushindani mkubwa baina ya Diarra, Matampi na yeye mwenyewe.