Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mpira ni anasa kweli kweliii.

Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki.

Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
 
Acha upuuzi,
Azam sisi tunataka nafasi ya pili na tunataka Fei abebe kiatu,
Huo upuuzi wa simba na yanga usilete Chamazi

Viva Azam Fc 🤍💙🤍
 
Mpira ni anasa kweli kweliii.

Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki.

Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
Hayo ni mawazo yako tu
 
Aahaaaa
 
Back
Top Bottom