Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona.
Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto.
Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa points zetu 3. Basi tunarudi kupumzika.