AZAM: Klabu kubwa ila timu ni ya kawaida sana

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Klabu ya Azam ilipoanzishwa nilitegemea kuwa mbadala wa Yanga na Simba hapa nchini. Lakini walipozoa viongozi toka Simba na FAT nikaona hapo hakuna kitu.
 
kama hujui hata mmiliki wa timu alikuwa mfadhili wa simba na upenzi wa simba na yanga ni hadi kaburini
 
Tatizo kubwa la Azam ni poor Management yenye poor strategies..,
 
Yanga kuifunga Azam ndio ilikuwa habari kubwa ukilinganisha na uwezo wa timu zote. Hili la Simba kuifunga Azam ni habari kama habari nyingine tu, kinacholeta mjadala ni nafasi ya kugombania ubingwa kwa Azam imepata pigo kubwa.
 
Azam wanajua mpira wajameni Simba tumelazimika kulala na viatu kwe hii mechi ya mwisho.
 
Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa
 
Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa

Mwanzoni mlisema Simba kaingia mkenge kuchukua wahenga 4, eti Azam ni wajanja wameoffload mizigo sababu ya umri na majeruhi, sasa mnazungumza vinginevyo. Kuna watu hamjawahi kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…