Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Msiwaone wachezaji wa Utopolo wako dar wanashangilia ushindi Leo jumamosi wakat jumatatu wanacheza fainal na ninyi, wenzenu wanategemea sana mambo nje ya uwanja, hakuna kingine ni waganga tu, wale waganga wao mliowaomba wawasaidie kuwafunga Simba kule mtwara wamekuja nao Tanga na wanajua mambo yenu A to Z.
Nawashauri ongezeni zaid wataalamu, wenzenu wamewadharau sana kwa sababu haiwezekani wacheze fainal j3 halaf had ss hv wako jangwani wanashangilia ubingwa, wameshajihakikishia kuwakanda j3.
Lingine kuna watu wenu katika kampuni wanauza ishu, kila mnapocheza na utopolo wao wanawaeleza viongozi wa utopolo mambo yote mnayofanya, fukuzeni kazi baadhi ya watumishi, ni wasaliti.
Kama nabisha subirini jumatatu mtaona.