Azam leo mmezingua hizi camera ni kama tunaona gizani, mbadilike

Azam leo mmezingua hizi camera ni kama tunaona gizani, mbadilike

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Naangalia match ya Simba vs Coastal Union, camera za Azam leo ni Cristo puuzi mtupu huwezi kuona vyema.

Tatizo hili lipo kila match ila leo mmezingua sana.

USSR
 
Uwanja wa Uhuru upo karibu na kambi ya Jeshi hivyo Jeshi limekataza kurusha kwa kutumia baadhi ya kamera ambazo zina ubora wa juu.
 
Uwanjawa uhuru upo karibu na kambi ya jeshi hivyo jeshi limekataza kurusha kwa kutumia baadhi ya kamera ambazo zinaubora wa juu
Na mpira wa jana je wa Yanga na Namungo mbona ilikuwa pia camera kama kigiza flan au nayo utasema jeshi au usiku? Ukiona mdau anakuambia kasoro ni vizuri kuchukua mrejesho na kuufanyia kazi.
 
Na mpira wa jana je wa Yanga na Namungo mbona ilikuwa pia camera kama kigiza flan au nayo utasema jeshi au usiku? Ukiona mdau anakuambia kasoro ni vizuri kuchukua mrejesho na kuufanyia kazi.

Nimekupa sababu mkuu za uwanja wa chamazi hilo liko wazi na Azam walishawahi kusema hayo hadharani.

Inawezekana pia Azam amepeleka Camera zenye ubora Kenya sababu amepata tenda huko hivi karibuni na kutuachia camera zisizo na ubora akijiandaa kupata camera nyingine

Bado tunadhani tu mpaka wenyewe watakaposema nini ni sababu
 
Naangalia match ya Simba vs Coastal Union, camera za Azam leo ni Cristo puuzi mtupu huwezi kuona vyema.

Tatizo hili lipo kila match ila leo mmezingua sana.

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Mpaka leo kada wa CCM bado unatumia Tecno POP B1c?
a2-1.jpg
 
Kingine kinachokera wakionesha mpira tofauti na kwa Mkapa unakua unachungulia mpira kutokea ubavuni mwanzo mwisho, pasi inapigwa mchezaji anapokea hadi anatoa pasi ndio camera inamfikia, au ndio kusema bado teknolojia yao ni ndogo 🤔🤔🤔
 
Na mpira wa jana je wa Yanga na Namungo mbona ilikuwa pia camera kama kigiza flan au nayo utasema jeshi au usiku? Ukiona mdau anakuambia kasoro ni vizuri kuchukua mrejesho na kuufanyia kazi.

Tena ndo uwanja wao Azam. Mashabiki ndo unaona kama watu wa kuchorwa wakiwa gizan.
 
Angels za camera sijui zinasetiwa vipi.. mtu anapokea mpira haonekani, hadi anatoa pasi. Kwa ufupi Azam wanazingua sana kwenye Viwanja nje ya mkapa, na sijui n kwanini wakati set ya uwanja inafanana
 
Back
Top Bottom