Emu tuone huko mtandaoni kukojeKata tiketi mtandaoni utaona lipa namba...
Hongera mkuu next time watawekaHabari za asubuhi.
Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba.
Kilichoniponza ni kataka kupanda boti yao mpya Kilimanjaro 9, nimejuta sana.
Emu tuone huko mtandaoni kukoje
Wachape makofiNimeuliza pia kama naweza Lipa kwa visa card wakasema hawana huduma hiyo
Nimeuliza pia kama naweza Lipa kwa visa card wakasema hawana huduma hiyo
Ofisi zao Dar wana Lipa namba, why upande huu wa Zanzibar hawana.?