G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Naangalia hpa mechi ya Azam-Namungo, yaani picha zinavyo onekana utafikir ni Kamera moja iliyowekwa juu ya jukwa, image inaoneshwa watu wako mbali, mbna mnafeli hivyo? Kwani mkiweka Kamera za kueleweka hpa kuna tatizo gani? Timu zipo sehemu moja, hapa ndipo tungeweza kuona picha nzuri make hata ligi imesimama hivyo kila kitu kinge base hapa, unaangalia mechi utafikir upo Jukwaani juu, unaona tu vichwa vya wachezaji. Badilikeni!!!